SESEME TECHNOLOGY

VITU VIZURI VINAVYOVUTIA VIWEKE KWENYE PICHA

TANZANIA INA MANDHALI MAZURI SANA YAWEKE KWENYE PICHA.

JE UNAPICHA NZURI UNATAKA WATU WAZIONE ?

Picha zoote zenye maadili kwa nchi yetu,za michezo,za wanyama,za mazingira ,za wanamichezo,na ujumbe tofauti

JE UMEVUTIWA NA UNACHOKIONA NA UNAHITAJI WENGINE WAKIONEE ?

Weka kwenye picha tufaidike kwa Pamojaa

ULICHOVUTIWA NACHO,Weka kwenye Picha

Je Umependeza na unataka kujumuika na wenzako ?Weka kwenye Picha

PICHA ZETU,MAZINGIRA YETU

Uzuri wa mandhari yetu,ni ya kwetu sote,weka kwenye picha tujumuike kwa pamoja

Wednesday, July 2, 2025

LOGO TOFAUTI TOFAUTI

 Picha Mbalimbali kwa ajiri ya Logo ya Afya Imara Tips