
UJUMBE KATIKA PICHA
PENDA KUWA MSIKILIZAJI ZAIDI KULIKO MUONGEAJI
MUDA NA AFYA NDO BIDHAA GHALI KULIKO ZOTE
KAMA UTAHITAJI AMANI YA MOYO PENDA MAFANIKIO YA MWENZAKO
FEAR TURNS US AGAINST EACH OTHER
IF YOU HAVE SOMETHING TO DO ,DO IT NOW
JAMBO AMBALO HUPENDI KUFANYIWA,BASI USIFANYE KWA MWINGINE
HESHIMU NA THAMINI UWEPO WA WAZAZI WAKO
UKWELI HAUNA MWISHO DAIMA LAKINI MWISHO WA UONGO NI PALE UNAPOPATIKANA UKWELI
DUNIA...