UJUMBE KATIKA PICHA
![]() |
PENDA KUWA MSIKILIZAJI ZAIDI KULIKO MUONGEAJI |
![]() |
MUDA NA AFYA NDO BIDHAA GHALI KULIKO ZOTE |
![]() |
KAMA UTAHITAJI AMANI YA MOYO PENDA MAFANIKIO YA MWENZAKO |
![]() |
FEAR TURNS US AGAINST EACH OTHER |
![]() |
IF YOU HAVE SOMETHING TO DO ,DO IT NOW |
![]() |
JAMBO AMBALO HUPENDI KUFANYIWA,BASI USIFANYE KWA MWINGINE |
![]() |
HESHIMU NA THAMINI UWEPO WA WAZAZI WAKO |
![]() |
UKWELI HAUNA MWISHO DAIMA LAKINI MWISHO WA UONGO NI PALE UNAPOPATIKANA UKWELI |
![]() |
DUNIA HAINA SIRI,USIFITINISHE AU USIMUONGELEE MTU MABAYA MGONGONI MWAKE |
![]() |
THAMINI MCHANGO WA WENZAKO NA SHIRIKIANA NAO |
0 comments:
Post a Comment