Picha za RAISI WA AWAMU YA TATU WA TANZANIA,RAIS WILLIAM BENJAMIN MKAPA
Katika maeneno Tofauti![]() |
Mzee Mkapa akiwa na Rais John Magufuli wakijadili Jambo |
![]() |
Mzee Mkapa akiwa katika muonekano wa Ujana |
![]() |
Mzee Mkapa akihojiwa mawili matatu na Waandishi wa Habari |
![]() |
Mzee Mkapa katika Picha Kubwa |
![]() |
Mzee Mkapa akiwa na Maraisi wengine wa staafu wa Tanzania,na Rais John Magufuli |
![]() |
Mzee Mkapa akiwa na Marais wengine wastaafu na Raila Odinga kiongozi wa Upinzani Kenya |
![]() |
Mzee Mkapa akiwa na furaha katika moja ya vikao vya CCM |
0 comments:
Post a Comment